Mtunzi: Alan Mvano
> Mfahamu Zaidi Alan Mvano
> Tazama Nyimbo nyingine za Alan Mvano
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Alan Mvano
Umepakuliwa mara 1,597 | Umetazamwa mara 3,116
Download Nota Download MidiTUJITAYARISHE KUMPOKEA MKOMBOZI
Kiitikio
Tujitayarishe tujitakase, tujitayarishe tujitakase kumpokea Mkombozi wetu Yesu Kristu
Mashairi
01. Tujiweke tayari tuisafishe njia yake, kila penye mabonde pasawazishwe sasa, kila penye vilima pasawazishwe sasa
tazameni anakuja Mkombozi wetu Yesu Kristu mtawala milele
02. Anakuja Mwenye enzi mwenye ufalme mabegani mwake, ndiye Masiha mkombozi ajaye kututoa utumwani mwa shetani
tujitayarishe nafsi zetu kumpokea mkombozi