Mtunzi: Alan Mvano
> Mfahamu Zaidi Alan Mvano
> Tazama Nyimbo nyingine za Alan Mvano
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Alan Mvano
Umepakuliwa mara 2,547 | Umetazamwa mara 6,113
Download Nota Download MidiKiitikio
Ee Bwana yote uliyotutendea, umeyatenda kwa haki, kwa kuwa sisi tumetenda dhambi
Wala hatukuzitii amri zako
Mashairi
1. Ulitukuze jina lako na kututendea sawasawa na wingi wa huruma yako
2. Kwa sababu enzi yako ni enzi ya milele, ufalme wako wadumu kizazi na kizazi