Mtunzi: Alan Mvano
> Mfahamu Zaidi Alan Mvano
> Tazama Nyimbo nyingine za Alan Mvano
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Alan Mvano
Umepakuliwa mara 4,591 | Umetazamwa mara 9,818
Download Nota Download MidiKiitikio
Wewe Bwana nguvu zangu nakupenda sana
Mashairi
1.Wewe Bwana nguvu zangu nakupenda sana,
Bwana ni jabali langu na boma langu na mwokozi wangu,
Mungu wangu mwamba wangu ninayemkimbilia, ngao yangu na pembe ya wokovu wangu na ngome yangu
nitamwita Bwana astahiliye kusifiwa, hivyo nitaokoka na adui zangu
2.Bwana ndiye aliye hai, na atukuzwe Mungu wa wokovu wangu,
ampa mfalme wokovu mkuu, amfanyia fadhili masihi wake