Ingia / Jisajili

Leo Amefufuka

Mtunzi: Respice Makoko
> Mfahamu Zaidi Respice Makoko
> Tazama Nyimbo nyingine za Respice Makoko

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: RESPICE MAKOKO

Umepakuliwa mara 1,329 | Umetazamwa mara 4,028

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

LEO AMEFUFUKA MWOKOZI

KIITIKIO

Leo (leo) leo amefufuka Mwokozi wetu Kristu, leo amefufuka Bwana wetu Yesu Kristu.x2

MASHAIRI

  1. Asubuhi walikwenda, kutazama kaburi, wakakuta liko wazi, Mwokozi kafufuka.
  2. Tufurahi na tuimbe, tupige na makofi, vigelegele tupige, Mwokozi kafufuka.
  3. Kamshinda Yule mwovu, kayashinda mauti, njia wazi ya mbinguni, Mwokozi kafungua.
  4. Malaika wanaimba, huko juu mbinguni, wafurahi kufufuka, kwake Mwokozi wetu.
  5. Nasi hapa duniani, tuimbe Aleluya, tufurahi kufufuka, kwake Mwokozi wetu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa