Ingia / Jisajili

Uje Uje Emmanuel

Mtunzi: Respice Makoko
> Mfahamu Zaidi Respice Makoko
> Tazama Nyimbo nyingine za Respice Makoko

Makundi Nyimbo: Majilio

Umepakiwa na: RESPICE MAKOKO

Umepakuliwa mara 321 | Umetazamwa mara 1,819

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

UJE UJE EMMANUEL

KIITIKIO

Uje uje Emmanuel akutamani Israeli.x2

MASHAIRI

  1. Utufungulie lango la kwenda mbinguni, na kuyatakasa maovu tuliyonayo.
  2. Kwani dhambi zetu sisi zatusonga sana, nayo kamba ya mauti inatuzunguka.
  3. Ewe Mungu wa majeshi twaomba urudi, na ututazame kutoka juu mbinguni.
  4. Atukuzwe Baba pia atukuzwe Mwana, atukuzwe pia naye Roho Mtakatifu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa