Ingia / Jisajili

Twakusalimu Ee Mama Maria

Mtunzi: Respice Makoko
> Mfahamu Zaidi Respice Makoko
> Tazama Nyimbo nyingine za Respice Makoko

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: RESPICE MAKOKO

Umepakuliwa mara 488 | Umetazamwa mara 3,140

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

TWAKUSALIMU EE MAMA MARIA(REVISED)

KIITIKIO

Twakusalimu ee mama Maria mwombezi wetu na mama yetu, ( twakusihi sana umwombe mwanao Kristu atusamehe makosa yetu.x2 )

MASHAIRI

  1. Mama Maria atatusaidia (atatusaidia), kufikisha sala zetu kwa mwanae.
  2. Mama Maria atatusaidia (atatusaidia), tuweze kumshinda muovu shetani.
  3. Mama Maria atatusaidia (atatusaidia), tuweze kumjua Yesu mwana wake.
  4. Mama Maria atatusaidia (atatusaidia), tuweze kufika mbinguni kwa Baba.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa