Mtunzi: Reuben Maghembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Reuben Maghembe
Makundi Nyimbo: Matawi
Umepakiwa na: Reuben Maghembe
Umepakuliwa mara 1,309 | Umetazamwa mara 3,084
Download Nota Download MidiKiitikio
Hosana hosana mwana wa Daudi hosana hosana juu mbinguni *2
Mbarikiwa yeye mwenye kuja kwa jina la Bwana *2
Mashairi
1. Watoto wa Wayahudi walimlaki Bwana wakichukua matawi ya mizeituni
2. Walitandaza nguo njiani wakimpa heshima abarikiwe ajaye kwa jina la Bwana