Ingia / Jisajili

NITAKUTAFUTA MAPEMA

Mtunzi: Benjamin J.mwakalukwa
> Mfahamu Zaidi Benjamin J.mwakalukwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Benjamin J.mwakalukwa

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Benjamin JMwakalukwa

Umepakuliwa mara 399 | Umetazamwa mara 1,850

Download Nota
Maneno ya wimbo

NITAKUTAFUTA MAPEMA.

Ee mungu wangu nitakutafuta mapema nafsi yangu inakuonea kiu.

1.Ndipo nilipo kutafuta mapema Katika Mahalia pa takatifu nizione nguvu zako na utukufu wako.

2. Maana fadhiri zako ni njema kuliko uhai kuliko uhai nayo midomo yangu itakusifu wewe.

3.Mwili wangu wakuonea shauku Katika inchi kame auchovu inchi kame nachovu isiyo na maji na maji

4.Nafsi yangu itakinai Kama Kama kushiba kushiba mafuta kinywa changu kitasifu nidomo yangu kwa furaha.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa