Mtunzi: Benjamin J.mwakalukwa
> Mfahamu Zaidi Benjamin J.mwakalukwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Benjamin J.mwakalukwa
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Benjamin JMwakalukwa
Umepakuliwa mara 382 | Umetazamwa mara 1,565
Download NotaNITAMSIFU KWA FURAHA
mimi kwa furaha nitamsifu bwana,na kumtukuza kwa neema zake nitalifu jina lako tukufu na kuimba nyimbo zako kwa shangwe kwa furaha kubwa nitapaza sauti kwa midomo yangu nitamuimbia.
1.Hata na miguu yangu haitaona haha, kusimama Katika Mahalia patakatifu Pako.
2.Nitasimulia matendo yako kwa imani Wala ulimi wangu hauta simama kukusifu.
3.Nitaenda katikati ya mataifa yote kutangaza ukuuu wako kwa kila kiumbe chako.