Mtunzi: Benjamin J.mwakalukwa
> Mfahamu Zaidi Benjamin J.mwakalukwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Benjamin J.mwakalukwa
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Benjamin JMwakalukwa
Umepakuliwa mara 915 | Umetazamwa mara 3,785
Download NotaITENGENEZENI NJIA YA BWANA
itengenezeni njia ya bwana ya nyosheni mapito yako.
Kwamaana Bwana anakuja kuwaikoa anakuja kuleta wokovu.
1.Kila bonde litajazwa na kila mlima na kilima kutashushwa palipo potoka patakuwa pamenyooshwa palipo palizwa patasawazishwa
2.Na utukufu wa Bwana utafunuliliwa kwa wote wenye mwili watauona pamoja kwa kuwa kinywa cha Bwana kitanena haya.