Mtunzi: Benjamin J.mwakalukwa
> Mfahamu Zaidi Benjamin J.mwakalukwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Benjamin J.mwakalukwa
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Benjamin JMwakalukwa
Umepakuliwa mara 920 | Umetazamwa mara 3,041
Download NotaBWANA NI MWEMA.
Bwana ni mwema bwana ni mwema bwana bwana ni mwema nimwema kwangu.
1.Nami nimpazie sauti nafedha nimtolee kaniongoza vema Katika Maisha yangu
3.Nitamtolea bwana dhibihu za shangwe nafaka zangu nitamtolea bwana sehemu ya Mali yangu
3.Na ngoma nitacheza zeze na filimbi navyo vunubi nitamwimbia mungu kwa midomo yangu