Ingia / Jisajili

MSIFUNI BWANA

Mtunzi: Benjamin J.mwakalukwa
> Mfahamu Zaidi Benjamin J.mwakalukwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Benjamin J.mwakalukwa

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Benjamin JMwakalukwa

Umepakuliwa mara 398 | Umetazamwa mara 1,770

Download Nota
Maneno ya wimbo

MSIFUNI BWANA.

msifuni  bwana  msifuni  bwana  huwaponya walipondeka  moyo huwaponya waliopondeka moyo.

1.Maana ni vema kumwimbia mungu Wetu maana kwapendeza kusifu ni  kuzuri

2.Bwana ndiye aijengaye ajengaye yelusalem huwakusanya waliotawanyika  Wa israel

3.Huwaponya waliopondeka mioyo  na  kuzinganga jeraha zao huisabu Idadi ya nyota huzipata majina

4.Bwana wetu  ni mkuu mwingi  wa  nguvu akili  zake hazina mipaka, Bwana huwategemeza wenye upole huwaangusha chini wenye jeuri


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa