Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 845 | Umetazamwa mara 4,005
Download Nota Download MidiKiitikio:
Mama Maria mlete mwanao ili nami nipate kumbusu, nimwabudu Mfalme, Mfalme wa mbingu, yeye ndiye Mfalme Imanueli.
Mashairi:
1. Mlete karibu yangu niweze kumsujudia, nimkumbatie Mfalme mtukufu
2. Mfalme huyu ni Mfalme wa wafalme, ni mtawala mwenye nguvu na enzi milele.
3. Nimeiona nyota yake mashariki, nami nimekuja nipate kumwabudu.