Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 3,881 | Umetazamwa mara 8,395
Download Nota Download MidiKiitikio:
Mungu na atufadhili na kutubariki na kutuangazia uso wake. Njia yake ijulikane duniani pote wokove wake katikati ya mataifa yote.
Mashairi:
1. Mataifa na washangalie, na washangilie, naam waimbe kwa furaha, naam waimbe kwa furaha maana kwa haki atawahukumu watu, atawahukumu watu na kuwaongoza mataifa walioko duniani.
2. Nchi imejaa mazao yake Mungu, Mungu atatubariki, Mungu atatubariki, atatubariki sisi, miisho yote ya dunia itamcha yeye.