Ingia / Jisajili

Maombi Yangu Yafike Mbele Zako(Mwanzo-Jumapili Ya 32 )

Mtunzi: Respice Makoko
> Mfahamu Zaidi Respice Makoko
> Tazama Nyimbo nyingine za Respice Makoko

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: RESPICE MAKOKO

Umepakuliwa mara 2,523 | Umetazamwa mara 8,058

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 32 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

MAOMBI YANGU YAFIKE MBELE ZAKO

(Mwanzo-Jumapili ya 32 )

KIITIKIO

Maombi yangu yafike mbele zako, uutegee ukulele wangu sikio lako ee Bwana.x2

MASHAIRI

  1. Kwa maana nafsi yangu imeshiba taa-bu, na uhai wangu umekaribia kuzimu.
  2. Nafsi zao zachukia chakula chochote, na wameyakaribia malango ya mauti.
  3. Wameniweka nao washukao shimoni, nimekuwa kama mtu bila ya msaada.
  4. Atukuzwe Baba pia atukuzwe Mwana, pia atukuzwe Roho Mta-katifu Amina.

Maoni - Toa Maoni

Benedict Dinho Nov 05, 2018
Hongereni kwa kazi kubwa na nzuri mnayoifanya. Mwenyezi azidi kukuza karama zenu.

Toa Maoni yako hapa