Mtunzi: Respice Makoko
> Mfahamu Zaidi Respice Makoko
> Tazama Nyimbo nyingine za Respice Makoko
Makundi Nyimbo: Ubatizo
Umepakiwa na: RESPICE MAKOKO
Umepakuliwa mara 1,586 | Umetazamwa mara 4,552
Download Nota Download MidiKIITIKIO
(Bwana alipokwisha kubatizwa) mbingu zikamfunukia zikamfunukia.
(Roho akashuka kwa mfano wa hua) Na kukaa juu yake na kukaa juu yake x2.
(Na tazama sauti ya Baba ikasema) huyu ni mwanangu mpendwa wangu mpendwa wangu ninayependezwa naye x2.
MASHAIRI
1.Siku ile Yesu akaja kutoka Galilaya mpaka Yordani ili abatizwe.
2.Alipobatizwa Roho Mta-katifu akashuka mfa-no wa hua juu yake yesu.
3.Na juu mbinguni sauti ya Baba ikasema huyu mwanangu anipendezaye.
4.Atukuzwe Baba atukuzwe mwana naye Roho M-takatifu milele amina.