Ingia / Jisajili

Nimebatizwa Leo

Mtunzi: Respice Makoko
> Mfahamu Zaidi Respice Makoko
> Tazama Nyimbo nyingine za Respice Makoko

Makundi Nyimbo: Ubatizo

Umepakiwa na: RESPICE MAKOKO

Umepakuliwa mara 2,268 | Umetazamwa mara 5,083

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

NIMEBATIZWA LEO

KIITIKIO

Nimebatizwa leo nimebatizwa leo na sasa nimekuwa kiumbe kipya.x2

MASHAIRI

  1. Nimepokea Sakramenti ya ubatizo,  ninajihisi kuwa mimi ni kiumbe kipya,  niliyejaa neema ya Mungu.
  2. Nimemkana shetani na mamboye yote,  nimekili imani ya kanisa Katoliki,           lililo takatifu la mitume.
  3. Ninaahidi kumtumikia Mungu Baba,  katika kanisa takatifu la katoliki,           kanisa la mitume wake Yesu.
  4. Kwa ubatizo tumezikwa naye Mwokozi,  kwa fumbo la paska tupate kufufuka naye, pamoja katika uzima mpya.
  5. Atukuzwe Baba Mwana Roho Mtakatifu, ilivyokuwa mwanzo  sasa na hata milele, daima nayo milele amina.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa