Ingia / Jisajili

Tupeleke Zawadi Zetu

Mtunzi: Respice Makoko
> Mfahamu Zaidi Respice Makoko
> Tazama Nyimbo nyingine za Respice Makoko

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: RESPICE MAKOKO

Umepakuliwa mara 895 | Umetazamwa mara 4,381

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO

Tupeleke zawadi(zawadi) zetu( tupeleke),tupeleke kwa Mungu wetu.x2

MASHAIRI

  1. Mkate na divai twakutolea twakuomba Baba vipokee.
  2. Nazo fedha zetu twakutolea, twakuomba Baba zipokee
  3. Na mazao yetu twakutolea twakuomba Baba yapokee.
  4. Nazo sala zetu twakutolea twakuomba Baba zipokee
  5. Na maombi yetu twakutolea twakuomba Baba yapokee.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa