Mtunzi: Alan Mvano
> Mfahamu Zaidi Alan Mvano
> Tazama Nyimbo nyingine za Alan Mvano
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Alan Mvano
Umepakuliwa mara 1,750 | Umetazamwa mara 5,150
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 25 Mwaka C
Kiitikio
( Bwana asema mimi ni wokovu wa watu ) x2
( wakinilia, wakinililia katika taabu yoyote nitawasikiliza
nami nitakuwa Bwana wao milele ) x2
Mashairi
1. Nami nitawarudisha, nitawarudisha watu wenu waliofungwa
2. Nami nitawakusanya, nitawakusanya toka kati ya mataifa