Mtunzi: Alan Mvano
> Mfahamu Zaidi Alan Mvano
> Tazama Nyimbo nyingine za Alan Mvano
Makundi Nyimbo: Ndoa
Umepakiwa na: Alan Mvano
Umepakuliwa mara 4,277 | Umetazamwa mara 8,629
Download Nota Download MidiKiitikio
( Ingieni kwa furaha hekaluni kwa Mungu ) x2
( enyi maharusi mkapate kuifunga ndoa yenu takatifu (naye)
Mwenyezi Mungu awajalie upendo ndoa yenu na idumu daima ) x2
Mashairi
1. Mthaminiane nyakati zote kwa kuwa nyote mu wana wa Mungu na kwa sura na mfano wake aliwaumba Mungu
2. Familia yenu iwe chachu ya maendeleo, maendeleo ya kanisa na taifa zima