Mtunzi: Alan Mvano
> Mfahamu Zaidi Alan Mvano
> Tazama Nyimbo nyingine za Alan Mvano
Makundi Nyimbo: Matawi
Umepakiwa na: Alan Mvano
Umepakuliwa mara 4,315 | Umetazamwa mara 7,950
Download Nota Download MidiKiitikio
( Watoto wa mayahudi walimlaki Bwana ) x2
( Walichukua matawi ya mizeituni wakipiga kelele kusema hosana, wakisema hosana
hosana juu, hosana juu mbinguni ) x2
Mashairi
1. Hosana mwana wa Daudi, ndiye mbarikiwa yeye ajaye kwa jina la Bwana, Mfalme wa Israeli hosana juu mbinguni
2. Inueni vichwa vyenu enyi malango, inukeni enyi malango ya milele, Mfalme wa utukufu apate kuingia