Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Epifania | Mafundisho / Tafakari | Zaburi
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 411 | Umetazamwa mara 1,430
Download Nota Download MidiMataifa yote ya ulimwengu watakusujudia Bwana
1.Ee Mungu mpe mfalme hukumu zako na mwana wa mfalme haki yako, atawaamua watu wako kwa haki na watu walioonewa kwa hukumu
2. siku zake yeye mtu mwenye haki atastawi na wingi wa amani hata mwezi utakapokoma, na awena enzi toka bahari hata bahari toka mto hata miisho ya dunia
3. wafalme wa tarshishi na visiwa na walete kodi wafalme wa sheba na seba watoe vipawa naam wafalme nawamsujudie na mataifa yote wamtumikie
4. kwa maana atamwokoa mhitaji aliapo na mtu alieonewa iwapo hana msaidizi atamhurumia aliedhaifu na maskini na nafsi za wahitaji ataziokoa