Ingia / Jisajili

Mbingu na nchi zifurahi aleluya (Noeli)

Mtunzi: Reuben Maghembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Reuben Maghembe

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Reuben Maghembe

Umepakuliwa mara 163 | Umetazamwa mara 891

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Kuzaliwa kwa Bwana (Mkesha)
- Mwanzo Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Usiku)
- Mwanzo Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Alfajiri)
- Mwanzo Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Mchana)

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio

Mbingu na nchi zifurahi aleluya zote zifurahi aleluya (aleluya leo), kazaliwa Mwokozi Yesu mkombozi wetu

Bethlehemu pangoni amelala pale manyasini pangoni *2

Mashairi

1.Kwa a ji li ye tu m to to a me za li wa tu me pe wa m to to mwa na u me na u we za wa ki fal me ma be ga ni mwa ke

2.Mbi ngu zi fu ra hi na du ni a yo te sha ngwe ba ha ri i vu me na vyo te vi i ja za vyo ma sha mba ya sha ngi li e na vyo vi li vyo mo

3.Na si tu m sha ngi li e m ko mbo zi we tu a me za li wa kwa a ji li ye tu si si a me ku ja ku o ko a ma ta i fa yo te


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa