Ingia / Jisajili

MKONO WAKO WA KUUME

Maneno ya wimbo

Mkono wako wa kuume amesimama malkia amevaa dhahabu ya ofiri amevaa dhahabu ya ofiri

1.Binti za wafalme wamo miongoni mwa akina bibio wastahiki mkono wako wa kuume amesimama malkia amevaa dhahabu ya ofiri

2.sikiliza binti utazame pia utege sikio lako uwasahau watu wakop na nyumba ya baba yako, naye mfalme atatamani uzuri wako

3.maana ndiye Bwana wako umsujudie Bwana wako ,watapelekwa kwa furaha na shangwe na kuingia katika nyumba ya mfalme


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa