Mtunzi: Alan Mvano
> Mfahamu Zaidi Alan Mvano
> Tazama Nyimbo nyingine za Alan Mvano
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Alan Mvano
Umepakuliwa mara 3,964 | Umetazamwa mara 10,137
Download Nota Download MidiKiitikio
Sadaka yangu naileta kwako Ee Mungu muumba wangu
vitu vyote nilivyonavyo vinatoka kwako (wewe)
ninakusihi Ee Mungu upokee, pokea Ee Mungu wangu sadaka yangu ninaleta kwako.
Mashairi
1. Ee Mungu wangu wanijua mimi, waujua unyonge wangu, ninakusihi upokee sadaka yangu japo ni kidogo
2.Ninajua fika kwamba kwa nguvu zangu siwezi kukulipa, ila nakusihi Ee Mungu wangu upokee sadaka yangu japo ni kidogo