Mtunzi: Alan  Mvano
                     
 > Mfahamu Zaidi Alan  Mvano                      
 > Tazama Nyimbo nyingine za Alan  Mvano                 
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Alan Mvano
Umepakuliwa mara 2,512 | Umetazamwa mara 6,378
Download Nota Download MidiEE BWANA UNIHUKUMU by: ALAN MVANO
Kiitikio
Ee Bwana unihukumu x2
unitetee kwa taifa lisilo haki
(uniokoe na mtu wa hila asiye haki kwa kuwa wewe ndiwe Mungu uliye nguvu zangu ) x2
Mashairi
1.( Kwa kuwa wewe ndiwe Mungu ) x2 wewe ndiwe Mungu uliye nguvu zangu
2. (Nimekukimbilia wewe Bwana ) x2 nisiaibike nisiaibike milele