Mtunzi: Alan Mvano
> Mfahamu Zaidi Alan Mvano
> Tazama Nyimbo nyingine za Alan Mvano
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: Alan Mvano
Umepakuliwa mara 2,166 | Umetazamwa mara 6,843
Download Nota Download MidiManeno ya Wimbo: MIMI NDIMI UFUFUO Na: ALAN MVANO
( Mimi ndimi huo ufufuo na uzima asema Bwana ) x2
( yeye aniaminiye mimi hatakufa kabisa asema Bwana ) x2