Ingia / Jisajili

Mshukuruni Bwana Kwa Kuwa Ni Mwema

Mtunzi: Nsolo S. Stephen
> Mfahamu Zaidi Nsolo S. Stephen
> Tazama Nyimbo nyingine za Nsolo S. Stephen

Makundi Nyimbo: Misa | Zaburi

Umepakiwa na: Nsolo Stephen

Umepakuliwa mara 10 | Umetazamwa mara 37

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mshukuruni Bwana kwa kuwa Yeye ni Mwema, kwa maana fadhili zake ni za milele. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni Mwema, kwa kuwa fadhili zake ni za milele nb: Mabeti yanaweza kusomwa au kuimbwa kwa namna inavyopendwa.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa