Ingia / Jisajili

Mikononi Mwako Naiweka Roho Yangu

Mtunzi: Nsolo S. Stephen
> Mfahamu Zaidi Nsolo S. Stephen
> Tazama Nyimbo nyingine za Nsolo S. Stephen

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Mwaka wa Huruma ya Mungu | Zaburi

Umepakiwa na: Nsolo Stephen

Umepakuliwa mara 21 | Umetazamwa mara 69

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mikononi mwako Baba naiweka Roho yangu na nilivyo navyo vyote, mikononi mwako Baba naiweka Roho yangu. V. Macho yangu yamekuelekea wewe, Mungu Bwana, nimekukimbilia wewe, usiniache nafsi yangu 2. Nawe Bwana usinizuilie Rehema zako, fadhili zako na kweli yako na zinihifadhi daima, Wewe Mungu wokovu wangu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa