Ingia / Jisajili

Msipoongoka Na Kuwa Kama Vitoto

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Watakatifu

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 32 | Umetazamwa mara 92

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
(Bwana asema) msipoongoka na kuwa kama vitoto hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni X2

1. Yeyote ajinyenyekeshaye mwenyewe kama mtoto huyo ndiye aliye mkuu katika ufalme wa mbinguni

2. Yeyote atakayempokea mtoto mmoja kwa jina langu yeye anipokea mimi anipokea mimi

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa