Ingia / Jisajili

Mungu Amepaa

Mtunzi: Conrad Mghanga
> Mfahamu Zaidi Conrad Mghanga
> Tazama Nyimbo nyingine za Conrad Mghanga

Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana

Umepakiwa na: Conrad Mghanga

Umepakuliwa mara 174 | Umetazamwa mara 495

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Kupaa kwa Bwana
- Katikati Kupaa kwa Bwana

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
MUNGU AMEPAA Mungu amepaa kwa kelele, kelele za shangwe x2 Bwana kwa sauti (kweli) Bwana kwa sauti amepaa (Bwana) Bwana kwa sauti amepaa (Bwana) Bwana kwa sauti ya baragumu (kwa sauti) Bwana kwa sauti (kweli) Bwana kwa sauti amepaa (Bwana) Bwana kwa sauti amepaa (Bwana) Bwana kwa sauti ya baragumu. 1. Enyi watu wote pigeni makofi tena pigeni, mpigieni Mungu kelele kwa sauti ya shangwe, kwa kuwa Bwana aliye juu mwenye kuogofya, ndiye mfalme mkuu juu ya dunia yote. 2. Mungu amepaa amepaa kwa kelele za shangwe, Bwana kwa sauti sauti ya baragumu, Mwimbieni Mungu mwimbieni Mungu tena imbeni, mwimbieni mfalme wetu msifuni yeye. 3. Maana Mungu Mungu ndiye mfalme wa dunia yote, imbeni kwa akili zenu imbeni kwa shangwe, Mungu amiliki Mungu amiliki mataifa yote, ameketia kiti chake kitakatifu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa