Ingia / Jisajili

Maji Ya Uzima

Mtunzi: Conrad Mghanga
> Mfahamu Zaidi Conrad Mghanga
> Tazama Nyimbo nyingine za Conrad Mghanga

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Ubatizo

Umepakiwa na: Conrad Mghanga

Umepakuliwa mara 267 | Umetazamwa mara 814

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
MAJI YA UZIMA 1. Nayatamani maji yenye uzima - unioshe Bwana mimi nitakate x2 (Bwana) Unioshe (Ee Bwana) nitakase (unitakase) niwe mweupe kweli kuliko theluji x2 2. Nayatamani maji yenye baraka - unioshe Bwana mimi nitakate x2 (Bwana) 3. Nayatamani maji yenye ushindi - unioshe Bwana mimi nitakate x2 (Bwana) 4. Nayatamani maji yenye neema - unioshe Bwana mimi nitakate x2 (Bwana) 5. Nayatamani maji yenye uhai - unioshe Bwana mimi nitakate x2 (Bwana)

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa