Ingia / Jisajili

Mt.yosefu

Mtunzi: Conrad Mghanga
> Mfahamu Zaidi Conrad Mghanga
> Tazama Nyimbo nyingine za Conrad Mghanga

Makundi Nyimbo: Watakatifu

Umepakiwa na: Conrad Mghanga

Umepakuliwa mara 156 | Umetazamwa mara 760

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
MT. YOSEFU 1.Mchungaji hodari mpole na mnyenyekevu, mwaminifu mtiifu kwa ahadi zake Mungu kweli Mtakatifu Yosefu, baba mlishi wa Yesu, mtakatifu Yosefu ndiye mlinzi wa familia (Yosefu) (tunakumbilia, wewe mwombezi wetu, kwa Mungu utuombee daima milele) x2 2.Uliye kinga yetu na mwamba wetu imara, tuombee tupate msamaha na rehema kweli 3.Uliisimamia familia yako vyema, wakati wa mateso na nyakati za furaha kweli 4.Tufundishe upendo na mfano wako bora, tukumbuke wajibu wetu kwa kanisa letu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa