Mtunzi: Apolinary A. Mwang'enda
> Mfahamu Zaidi Apolinary A. Mwang'enda
> Tazama Nyimbo nyingine za Apolinary A. Mwang'enda
Makundi Nyimbo: Mazishi
Umepakiwa na: APOLINARY MWANG'ENDA
Umepakuliwa mara 1,014 | Umetazamwa mara 3,251
Download Nota Download MidiUwape Bwana raha ya milele mwanga wa milele uwaangazie wapumzike kwa amani x2
1. Yatupasa kukusifu eebwana na kukutolea sadaka nakukutolea sadaka
2. Eebwana sikiliza sala yangu tunayokutolea kwako mwanadamu kimbilio
3. Mungu alimfufua yesu kristo ataihuisha na mili yenu iliyokatika hali ya kufa.