Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Shukrani | Zaburi
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 7,574 | Umetazamwa mara 18,344
Download Nota Download MidiKiitikio:
Ni neno jema kumshukuru Bwana (x 2).Na kuliimbia jina lako Ee uliye juu
Mashairi:
1. Kuzitangaza rehema zako asubuhi na uaminifu wako wakati wa usiku
2.Kwa chombo chenye nyuzi kumi na kwa kinanda na kwa mlio wa kinubi
3. Kwakuwa umenifurahisha Bwana, kwa kazi yako nitashangilia kwa ajili ya matendo yako
4. Ee Bwana jinsi yalivyo makuu matendo yako, mawazo yako ni mafumbo makubwa