Mtunzi: Michael Matai
> Mfahamu Zaidi Michael Matai
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Matai
Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana
Umepakiwa na: Michael Matai
Umepakuliwa mara 811 | Umetazamwa mara 4,166
Download NotaTazama, mimi niko pamoja nanyi siku zote x2 / Hata ukamilifu wa dahari, niko pamoja nanyi x2
1. Yesu akasema nao akiwaambia nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
2. Basi endendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwajina la baba na la mwana na Roho mtakatifu; Nakuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi.