Mtunzi: Michael Matai
                     
 > Mfahamu Zaidi Michael Matai                      
 > Tazama Nyimbo nyingine za Michael Matai                 
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Michael Matai
Umepakuliwa mara 748 | Umetazamwa mara 2,628
Download Nota Download MidiDondokeni enyi mbingu, dondokeni toka juu na mawingu na mawingu yammwage mwenye haki//
Nchi na ifunguke na kumtoa mwokozi x2
1. Bwana umtume mwanao, Aje aondoe utumwa wa shetani.
2. Bwana ameiridhia nchi yake, Amewarejesha mateka wa Yakobo.