Mtunzi: Michael Matai
> Mfahamu Zaidi Michael Matai
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Matai
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Michael Matai
Umepakuliwa mara 503 | Umetazamwa mara 2,333
Download NotaKiitikio:
Sitikisiki, sitikisiki imani yangu ni kwa Yesu // Ambaye alijitoa sadaka kwaajili yetu, Akafa msalabani ili tuokolewe x2
1. Kweli halisi naiamini ya kwamba Kristu ni mwokozi wangu (mwokozi), Namsadiki namtumikia, shetani hanitikisi.
2. Kwa kifo chake msalabani hakika tumepata wokovu wetu (wokovu), Kwa ufufuko wake mwokozi, chimbuko la imani yetu.