Mtunzi: Michael Matai
> Mfahamu Zaidi Michael Matai
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Matai
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Michael Matai
Umepakuliwa mara 2,813 | Umetazamwa mara 6,555
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 18 Mwaka C
Ee Mungu uniokoe Bwana unisaidie hima x 2 // Ndiwe msaada wangu mimi na mwokozi wangu ( Bwana) x2 // Ee Bwana usikawie, Ee Bwana usikawie x2
1. Wanao nuia kuniangamiza, Nawafedheheshwe na kuaibishwa.
2. Lakini wote wakutafutao, Na washangilie na kukufurahia,
3. (Tenor) Wale wapendao wokovu wako, Daima waseme Mungu na atukuzwe.