Ingia / Jisajili

Yesu Asante

Mtunzi: Respice Makoko
> Mfahamu Zaidi Respice Makoko
> Tazama Nyimbo nyingine za Respice Makoko

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: RESPICE MAKOKO

Umepakuliwa mara 1,576 | Umetazamwa mara 5,522

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

YESU ASANTE

KIITIKIO

Yesu asante Yesu asante Yesu asante kwa mema yako.x2

MASHAIRI

  1. Yesu asante kwa mema yako, twakushukuru kwa mema yako, umetupa mwilio tuule sote.
  2. Yesu asante kwa mema yako, twakushukuru kwa mema mengi, umetupa damuyo tuinywe sote
  3. Yesu asante kwa mema yako, twakushukuru kwa mema mengi, umetupa uzima wa roho zetu.
  4. Yesu asante kwa mema yako, ndiwe uzima na ufufuko, tujalie imani tufike kwako.
  5. Yesu asante kwa mema yako, ndiwe Mwokozi wa ulimwengu, tupe nasi  uwezo tushinde dhambi

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa