Ingia / Jisajili

Unitume Mimi

Mtunzi: Respice Makoko
> Mfahamu Zaidi Respice Makoko
> Tazama Nyimbo nyingine za Respice Makoko

Makundi Nyimbo: Miito

Umepakiwa na: RESPICE MAKOKO

Umepakuliwa mara 863 | Umetazamwa mara 3,452

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

UNITUME MIMI

KIITIKIO

Unitume mimi Bwana, Bwana nitume mimi ili nikaitangaze habari njema.x2

MASHAIRI

  1. Unitume mimi ili nikaitangaze, habari njema katika ulimwengu.
  2. Nikaitangaze habari njema ya Kristu, watu wote wamjue Mungu Baba.
  3. Nikaitangaze Injili bila kuchoka, niwe mfano wa Kristu siku zote.
  4. Yesu alisema nendeni ulimwnguni, ili mkawabatize watu wote.
  5. Wazitubu dhambi waiamini Injili, waurithi na uzima wa milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa