Ingia / Jisajili

Kazaliwa (Revised)

Mtunzi: Respice Makoko
> Mfahamu Zaidi Respice Makoko
> Tazama Nyimbo nyingine za Respice Makoko

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: RESPICE MAKOKO

Umepakuliwa mara 1,014 | Umetazamwa mara 3,331

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KAZALIWA (REVISED)

KIITIKIO

Kazaliwa (kazaliwa) mtoto Emmanueli, ni Mfalme wa mbingu na ulimwengu.x2

MASHAIRI

  1. Saa sita usiku Malaika wa Mungu walitoa habari Bwana kazaliwa.
  2. Mtoto amejilaza kwenye hori la ng’ombe nasi twende tukamwone mtoto Yesu.
  3. Jeshi la Malaika huko juu mbinguni linaimba nyimbo nzuri kumshangilia.
  4. Nasi ulimwenguni yatupasa kuimba nyimbo nzuri za furaha kwa shangwe kuu.
  5. Tushangilie sote tupige na makofi vigelegele pia navyo visikike.
  6. Mtoto Emmanueli yeye ndiye Masiya atatawala mbinguni na duniani.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa