Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma
Umepakiwa na: Vusile Silonda
Umepakuliwa mara 2,104 | Umetazamwa mara 7,536
Download Nota Download MidiKabila langu nimekutendea nini nini?
Au nimekusikitisha nini nini? Jibu jibu, Ee kabila langu
1. Ilinipasa kukutendea nini zaidi? Ni sikutendee kabila langu nijibu nimekupenda nimekupenda kama shamba langu la mizabibu
2. Nilikulisha mana jangwani kabila langu nawe ukanipiga makofi ukanipiga mijeledi ukanipiga mijeledi
3. Nilikunywesha maji yale ya uzima nawe ukaninywesha nyongo na siki kabila langu ukaninywesha ukaninywesha nyongo na siki