Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 895 | Umetazamwa mara 3,846
Download Nota Download MidiKiitikio:
Nitayainua macho yangu niitazame milima, nitayainua macho yangu niitazame milima, msaada wangu utatoka wapi, msaada wangu utatoka wapi, msaada wangu u katika bwana aliyezifanya mbingu nchi.
Mashairi:
1. Asiuache mguu wako usogezwe yeye akulindaye asisinzie, Naam, naam, naam hatasisinzia, hatasinzia ,hatasinzia wala hatalala.
2.Bwana ndiye mlinzi wako ndiye mlinzi wako, bwana ni uvuli, uvuli wako,husimama mkono wako wa kuume
3.Bwana atakulinda na mabaya yote,atakulinda nafsi yako utokapo na uingiapo.