Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 601 | Umetazamwa mara 2,222
Download Nota Download MidiNuru huwazukia wenye adili gizani
1.kwa maana haataondoshwa kamwe mwenye haki atakumbukwa milele hataogopa habari mbaya ukimtumania Bwana
2.moyo wake umethibitika hataogopa awaone watesi wake wameshindwa amekirimu na kuwapa maskini haki yake
3.nuru huwazukia wenye adili anafadhili na huruma na haki na kukopesha atengenezae mambo yake kwa haki