Mtunzi: Benjamin J.mwakalukwa
> Mfahamu Zaidi Benjamin J.mwakalukwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Benjamin J.mwakalukwa
Makundi Nyimbo: Ndoa
Umepakiwa na: Benjamin JMwakalukwa
Umepakuliwa mara 815 | Umetazamwa mara 1,952
Download NotaSAHIHI YA MKONO WAKO
Sahihi ya mkono wako ndio Alama ya uthimbitisho ndio alama ya uthibitisho kwa kwa kufunga ndoa yenu.
Bwana harusi weka saini yako bibi harusi weka wote pamoja mnathibitsha mbele ya mungu wetu na mbele ya kanisa.
1.Mume funga maagano matakatifu kwake mungu wetu nenda mkaenenda vema.
2.Nyumba yenu iwe kanisa dogo na shule ya sala mungu atawajaza baraka.