Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Anthem
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 1,129 | Umetazamwa mara 4,256
Download Nota Download MidiLyrics:
Kauli mbiu ya serikali ya awamu ya tano yatutaka kufanya kazi (kwa juhudi)
Tumuunge mkono raisi wetu (Magufuli) kwa kufanya kazi (kwa juhudi)
Tufanye kazi kwa bidii tufanye kazi kwa kujituma tumuunge mkono raisi wetu kwa kufanya kazi kwa bidii (x2)
Kazi ndiyo msingi wa uchumi imara, kazi ni kielelezo cha taifa makini, hivyo tufanye kazi kwa juhudi na maarifa (tufanye kazi): tufanye kazi, tufanye kazi, tufanye kazi ; tufanye kazi kwa bidii, tufanye kazi kwa maarifa, tufanye kazi kwa kujituma, ili tujenge uchumi imara, kuwa taifa lililo imara, tuwe taifa lilio imara kiuchumi, tufanye kazi kwa juhudi.