Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 2,551 | Umetazamwa mara 10,752
Download Nota Download MidiKiitikio:
Kando ya mito ya Babeli ndipo tulipoketi, kando ya Babeli ndipo tulipoketi, tukalia tulipoikumbuka, tulipoikumbuka Sayuni, tukalia tulipoikumbuka tulipoikumbuka Sayuni.
Mashairi:
1. Katika miti iliyo katikati yake tulivitundika vinubi vyetu
2. Maana huko ndiko walikotuchukua mateka walitaka tuwaimbie nyimbo mpya.
3. Je tuimbeje wimbo wa Bwana ugenini? Yerusalemu nikusahau, nikusahau sana.