Ingia / Jisajili

Waipeleka Roho Yako

Mtunzi: Martin Mutua Munywoki
> Tazama Nyimbo nyingine za Martin Mutua Munywoki

Makundi Nyimbo: Pentekoste

Umepakiwa na: Martin Munywoki

Umepakuliwa mara 663 | Umetazamwa mara 2,094

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Pentekoste

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

WAIPELEKA ROHO

Waipeleka Roho Yako( ee Bwana) Roho yako Bwana

Nawe unaufanya upya uso wa nchi

1. Ee nafsi yangu umhimidi Bwana

Wewe Bwana Mungu wangu umejifanya mkuu sana

Ee Bwana jinsi yalivyo mengi matendo

Ma tendo yako dunia imejaa ma-li zako

2.            Waiondoa pumzi yao wanakufa

Na kurudia kuyarudia mavumbi yao

Waipeleka Roho yako wanaumbwa

Nawe waufanya upya uso wa nchi uso wa nchi

3.            Utukufu wa Bwana na udumu milele

Bwana na afurahie matendo yake

Kutafakari kwangu kuwe kutamu kwake

Mimi nitamfurahia furahia Bwana ee Bwana


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa