Ingia / Jisajili

Msilegee Kuomba

Mtunzi: Martin Mutua Munywoki
> Tazama Nyimbo nyingine za Martin Mutua Munywoki

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Kwaresma

Umepakiwa na: Martin Munywoki

Umepakuliwa mara 695 | Umetazamwa mara 2,513

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Msilegeeni kwa bi-dii ya kuomba

Ombeni ombe-ni ombeni

1.Acheni kufa moyo kukata tamaa

Maisha yanapokuwa magumu

Msinung’unike jipeni moyo

Ombeni ombeni bila kuchoka

2.Na msidhani Mungu amewasahau

Kuweni na subira ya majibu

Mungu wetu amejaa huruma

Ombeni ombeni anasikia

3.Kesheni kila wakati kwa ku-omba

Kwa kufunga na kutoa sadaka

Hakuna lolote linamshinda

Ombeni ombeni kila wakati


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa